Brigedia Mstaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania, Brigedia John Chacha na wakazi wengine zaidi ya familia 50 wa eneo la Mbweni Teta, jijini Dar es Salaam wanaiomba Serikali kuwanusuru na tatizo la mafuriko ambalo limewatesa kwa miaka zaidi ya mitano.