×

Kim Jong-un Adaiwa Kufariki Dunia

Vyombo vya habari vya Hong Kong na Marekani vimeripoti kuwa, inawezekana kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un amefariki dunia baada ya kufanyiwa upasuaji wa moyo lakini vyombo vya habari vya Japan vinasema kiongozi huyo yuko mahututi.

 

——————–

 

 

Android: http://bit.ly/2AAQe1d
iOS: http://apple.co/2Assf4M

 

 

Leave a Comment