×

Video: SELASINI Amlipua MBOWE – “UKIMGUSA, UNAFUKUZWA CHAMA”

MBUNGE wa Rombo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini ametangaza kuachana na chama hicho na kurejea kwenye chama chake cha awali cha NCCR Mageuzi mara tu baada ya bunge litakapovunjwa Juni 30, 2020.

Leave a Comment