×

Kisa Ugonjwa, Akimbiwa na Mume, Akuta Talaka kwa Jilani – Video

GLOBAL TV imefunga safari mpaka eneo la Bububu visiwani Zanzibar, kuzungumza na mwanamke mmoja, anayefahamika kwa jina la bi Aisha, anayesumbuliwa na maradhi yaliyomsababisha kulala kitandani kwa miaka minne.

Leave a Comment