×

Mtaalam wa Tiba Asili, Dk Maneno Tamba Afariki Dunia

Mtaalam wa Tiba Asili Tanzania, Dk Maneno Tamba amefariki dunia leo Mei Mosi, jiji Dar es salaam, mdogo wake Sultan Tamba amethibitisha na kusema kuwa taratibu za mazishi zinafanyika nyumbani kwake Mburuhati, jijini Dar es salaam.

 

Dk Tamba, ambaye aliwahi kuwa mwanachama mkereketwa wa Klabu ya Yanga, alijipatia umaarufu kwa tiba asili kwa kutumia matunda, akifanyia shughuli zake Magomeni Makuti, jijini Dar.
Inna Lilahi, Wainna Ilaihi Raajioun!

NDUGU Wamwaga MACHOZI WAKIAGA MWILI wa JAJI AGUSTINO RAMADHANI

Leave a Comment