Global Publishers May 7, 2020 4,056 views 0 Comments
SHARE THIS:
MKUU wa Wilaya ya Nyang’wale Mkoa wa Geita, Hamim Buzohera Gwiyama, amefariki leo Mei 7, 2020 majira ya saa 5:00 asubuhi katika Hospitali ya Rufaa Bugando – Mwanza baada ya kuugua kwa muda mfupi. Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amethibitisha.