Global Publishers May 8, 2020 4,586 views 0 Comments
SHARE THIS:
MKUU wa Polisi Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed amefariki dunia. Afande Masoud hivi karibuni alijizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa usomaji wake wa Quran huku akiwa amevaa sare za jeshi hilo.