×

Uteuzi: Dkt. Mollel Awa Naibu Waziri Wa Afya Ndugulile Aondolewa

Rais Magufuli amemteua Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel kuwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

Uteuzi wa Dkt. Mollel unaanza leo Mei 16, 2020 akichukua nafasi ya Dkt. Faustine Ndugulile (Mbunge wa Kigamboni) ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Leave a Comment