×

‘Life’ Dawa ya Maajabu Katika Mwili wa Binadamu

LIFE ni dawa ya kiasili itokanayo na mimea yaani “NATURAL HERBAL ORGANIC FORMULA”. Life ni zawadi tosha kwa uhai wa binadamu wenye matatizo mbalimbali, inatibu maaonjwa yote sugu katika mwili wa binadamu.

Life ina jenga kinga na kuimarisha viungo muhimu vya mwili kama vile…. ubongo, mishipa ya fahamu, moyo, misuli, mifupa, mgongo na kadhalika. Life inasaidia kuimarisha afya ya watu wenye matatizo ya magonjwa yasiyoambukiza ambayo ni kisukari na shinikizo la damu (BP).

Dawa hii ina madini muhimu na yanayohiyajika kwa wingi katika mwili wa binadamu ambayo hulinda afya ya mtu kwa kutoshambuliwa na bacteria, virus ama visababishi vyovyote vya magonjwa. Madini hayo yaliyomo kwenye Life ni Calcium, Potassium, Magnesium, Phosphorous na mengine mengi.

Life husaidia kutibu wagonjwa wenye matatizo ya fangas mwilini, miguuni na hata sehemu za siri. Pia, husaidia wagonjwa wenye matatizo ya damu chafu (yaani inasaidia kusafisha damu mwilini).

Dawa hii inatengenezwa na kusambazwa na Kampuni ya JKBRS ambao ni wataalam na wauzaji wa dawa za tiba asili wanaopatikana Ubungo Plaza, Ground Floor au piga simu namba: 0744-111 114/ 0753-185 592.

Leave a Comment