×

Mghwira Aagiza Video za ‘Fumanizi’ Ziondolewe Mtandaoni

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Anna Mghwira ameagiza kuondolewa mtandaoni video zenye viashiria vya udhalilishaji kwenye mahojiano ya wanandoa Agnes Mushi na mumewe Vincent Malya wanaotajwa kuhusika na shambulio la mwili kwa Vena Kimario baada ya kufumaniwa kwa kile kinachoelezwa kukiuka maadili na kuwadhalilisha wanawake.

Leave a Comment