
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza Ester Chaula (Kulia) na Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Focus Majumbi (aliyevaa miwani) wakipokea msaada kutoka kwa Meneja mauzo mwandamizi wa Vodacom kanda ya Ziwa Victoria Chale (mwenye T-shirt nyekundu) na Meneja Miradi wa taasisi ya Sukos Kova Foundation Rahma Kova.
