×

Soul Food – Mahusiano Ya Unabii Na Ndoto, Nabii Kimanza -Video


KATIKA kipindi cha SOUL FOOD jumapili ya leo Juni 14, manabii Joachim Kimanza wa kanisa la Jesus Miracle Power, na Elisha wa kanisa la Ebenezer Gospel Church wamezungumzia uhusiano kati ya Unabii na Ndoto.

Leave a Comment