Klabu ya YANGA imesikitishwa na kitendo kisicho cha kiungwana kilichofanywa na mchezaji Lamine Moro dhidi ya mchezaji Mwinyi Kazimoto wa JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa leo.