
Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Salum Abdallah Mkemi anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) Wilaya ya Rufiji kwa Tuhuma za Rushwa.
Mkemi anahusishwa na utoaji wa rushwa kuhusiana na uchaguzi mkuu ujao wa Rais, Wabunge na Madiwani. Inadaiwa anajiandaa kugombea jimbo la Rufiji.
