NMB Yakabidhi Vifaa na Vitendea Kazi Ofisi Ya Waziri Mkuu
Global Publishers June 21, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Mkurugenzi wa Kitengo cha Maadhimisho na Sherehe za Taifa Bw.Mohamed Kiganja akipokea moja ya saa zilizotolewa na Benki ya NMB Dodoma, aliyekabidhi vifaa hivyo ni Meneja wa Kanda wa benki hiyo Bw. Nsolo Mlozi ikiwa ni sehemu ya kuonesha ushirikiano kati ya banki hiyo na Ofisi ya Waziri Mkuu ambapo walikabidhi saa 200, peni 200 na Vikombe 200 Jijini Dodoma.Mkurugenzi wa Kitengo cha Maadhimisho na Sherehe za Taifa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Mohamed Kiganja (kulia) akipokea moja ya kikombe vilivyokabidhiwa na Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi ambapo Vikombe 200 .Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo.… Kiganja (wa pili kulia) akipokea moja ya saa zilizokabidhiwa na Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi ikiwa ni sehemu ya kuonesha ushirikiano kati ya banki hiyo na Ofisi ya Waziri Mkuu ambapo walikabidhi saa 200, peni 200 na Vikombe 200.Mkurugenzi wa Kitengo cha Maadhimisho na Sherehe za Taifa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Mohamed Kiganja akitoa neno la shukrani kwa Meneja wa Kanda wa Banki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi mara baada ya kupokea vifaa kwa ajili ya Ofisi.