×

Video: Pierre Liquid Atangaza Nia Ya Kugombea Ubunge

KATIKA kipindi cha ‘255 FRONT PAGE’ leo Juni 24, 2020 Mchekeshaji maarufu kwa kupitia Unywaji wa pombe, Pierre Liquid, kupitia Global Radio amezungumzia mambo mbalimbali ikiwemo Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu huku akiwa kada wa Chama cha Mapinduzi.

“Mimi natangaza nia ya kwenda kugombea Jimbo la Iringa Mjini. Mimi kule ndio maeneo ya kwetu kule ndiko alikozaliwa mama, Mchungaji Msigwa anatoka pale,”- Piere Liquid

Leave a Comment