Win&Go Yazidi Kutoa Furaha, Lucky Loser Kurudisha Tabasamu

Ulishawahi kuweka tiketi ya Win&Go, ukajiamini, halafu namba zote zikakukimbia kama upepo? Meridianbet wameona hilo, na sasa wanarudisha furaha yako kupitia ofa mpya inayotikisa anga la kubashiri, Lucky Loser, mpango maalum unaobadilisha hasara kuwa faida halisi.
Ndani ya ofa hii kali, ukicheza tiketi ya namba 6 kupitia Cash Account, halafu ukakosa zote, basi utapokea zawadi ya kuzidishiwa dau lako mara 30. Huu ni mchezo wa aina yake, unaokufanya ushinde hata pale inapotokea kupoteza. Ni kama bahati mbaya inageuka kuwa bahati yenyewe kwa sababu Meridianbet wanaamini kila mchezaji anastahili nafasi ya pili ya kutabasamu.
Na ili kukupa wepesi wa kuelewa na kufurahia, Lucky Loser haijumuishi system tickets, tiketi za bonus, wala Golden Round kwenye hesabu ya ushindi. Hii inafanya mchezo kuwa rahisi, safi, na wenye uwazi kwani unajua moja kwa moja unachopaswa kukifanya, na unajua kile unachoweza kukipata.
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Punde tu tiketi yako inapokosa namba zote, inachukuliwa moja kwa moja kuwa tiketi ya ushindi chini ya mpango huu, na haitashiriki kwenye jackpot draw. Zaidi ya hapo, Meridianbet wameiongezea alama maalum ya clover icon ili kuonyesha kuwa tiketi yako imeingia rasmi katika kundi la washindi wa Lucky Loser.
Huu ndiyo wakati wa kubadili mchezo wako, kuongeza msisimko, na kucheza Win&Go kwa kujiamini zaidi. Kwa Lucky Loser, kila tiketi ni nafasi ya kushinda, ndiyo maana Meridanbet inakwambia kwamba hata ukikosa, bado unashinda.

