Global Tv imfanikiwa kufanya mahojiano na mtoto wa nne wa bilionea Laizer ambaye anafahamika kama Emmanuel Laizer, ambaye ameelezea namna ambavyo wamefanikiwa kuishi kwa amani na upendo ndani ya nyumba hiyo wakiwa na mama wanne na watoto 30.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx