





Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo ameendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhakiki na mustakabali wa kutafuta na kumuweka Kiongozi Mpya wa Zanzibar