Rapa Kanye West ametumia ukurasa wake wa Twitter kutangaza kuwa atagombea Urais mwaka huu nchini Marekani.
Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu na bado haijafahamika kama tayari ameanza mchakato rasmi.
Tayari watu mahiri wameanza kujihusisha na kauli hiyo huku bosi wa kampuni ya Tesla akimuunga mkono Kanye West wakati Josh Marshall akipinga na kusema Kanye ni kibaraka wa Rais Trump