×

Video: Shangwe! Mapokezi Ya Simba Wakitua Dar Na Kombe Lao

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC hao wametua Dar leo  saa 2 asubuhi, na muda huu wanalitembeza kombe lao kutoka Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kwenda kumalizika makao makuu ya Simba Msimbazi.

Leave a Comment