×

Maajabu ya Friji la Mbao Linavyogandisha Maji na Kuchemsha – Video

Kupitia maonesho ya Saba Saba walimu kutoka veta mkoa wa Pwani wameonyesha ubunifu wao kwa kutengeneza friji ya mbao yenye umbo la meza ambapo friji hiyo inaweza kupooza vinywaji na wakati huo huo kupasha moto vyakula.

Leave a Comment