×

Live: Shehe Mwaipopo, Kizinga Wakiwasha Moto Kongamano la Mwaka la Kiislam

Wahadhiri mbalimbali wakiongozwa na Shehe Mwaipopo na Shehe Mazinge, leo Jumapili, Desemba 27, 2020 wanafanya mhadhara mkubwa wa kufunga mwaka katika Ukumbi vya PTA, Sabasaba jijini Dar es Salaam kuanzia saa 2:00 asubuhi mpaka saa 7:00 mchana.

 

Global TV Online na mitandao yote ya kijamii ya Global Publishers tupo LIVE
Wananchi wote bila kujali dini, mnakaribishwa sana.
Kwa maelezo zaidi piga simu 0756361906

 

Leave a Comment