Diwani wa Kata ya Hananasif Kinondoni, Tarimba Abbasi leo Julai 14, 2020 amechukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni.