×

DKT Abbas anazungumza , makabidhiano ya Hati ya COSOTA kutoka Wizara ya Viwanda

DKT ABBAS ANAZUNGUMZA, MAKABIDHIANO YA HATI YA KUHAMISHA COSOTA KUTOKA WIZARA YA VIWANDA

Ni matangazo ya moja kwa moja ya makabidhiano ya hati ya kuhamisha COSOTA kutoka wizara ya viwanda na biashara kwenda katika wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo ni baada ya Rais Magufuli kuwaahidi wasanii kuihamishia taasisi hiyo katika wizara ya habari…

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment