×

Breaking: Rais Magufuli Ahirisha Sherehe Za Mashujaa 2020

Rais John Magufuli ameahirisha sherehe za mashujaa zilizokuwa ziganyike Julai 25 mwaka huu jijini Dodoma.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu, Rais Magufuli amewataka Watanzania kutumia siku hiyo kuwakumbuka na kuwaombea mashujaa hao pia kuendeleza kudumisha amani, upendo, utulivu na mshikamano.

Leave a Comment