Maelfu Wajitokeza Tamasha la CCM Taifa (Picha +Video)
Global Publishers August 15, 2020 0 Comments
SHARE THIS:
Wananchi na wanachama wa CCM waliojitokeza kwenye tamasha maalum la uzinduzi wa nyimbo za chama hicho katika Uwanja wa Uhuru, ambapo wasanii takribani 300 wanashiriki.