














JIMBO la Buchosa ni moja ya majimbo nchini yanayopiga kura za maoni za kuwapata wagombea ubunge katika majimbo mbalimbali kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Wakati tunakwenda mitamboni majira ya saa sita mchana mchakato huo ulikuwa haujaanza. Hata hivyo, tutaendelea kuwajuza kila kinachotokea sehemu hiyo kikamilifu.