MKURUGENZI wa Wasafi Media na Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, akishirikiana na Pari Match leo Julai 21, 2020, wamekabidhi misaada ya chakula, kompyuta na runinga mbili kwa ajili ya kurahisisha masomo ya watoto yatima hao kutoka vituo viwili tofauti.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx