×

Simanzi! Rais Shein Ampa Pole Mama Anna Mkapa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, ameungana na waombolezaji wengine kutoa pole kwa familia na Watanzania wote kufuatia kifo cha Rais Mstaaf wa Awamu ya Tatu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu, Benjamin William Mkapa aliyeaga dunia usiku wa kuamkia jana Julai 24, 2020 jijini Dar es Salaam.

Dkt. Shein amefika nyumbani kwa marehemu Masaki Jijini Dar es Salaam leo Julai 25, 2020, kutowa mkono wa pole mjane wa marehemu, Mama Anna Mkapa kwa familia nzima ya marehemu Mkapa.

Leave a Comment