Makamu mwenyekiti wa Klabu ya Soka ya Yanga Fredrick Mwakalebela amefunguka kuwa sauti ambayo ilikua inatembea mtandaoni ni yeye na kosa hilo limefanywa na baadhi ya wanachama ambao wanampa maneno ambayo yeye kama kiongozi hashiriki huku akisema wameamua kumchafua.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx