×

Video: JPM Aongoza Maelfu Kumuaga Hayati Mkapa Uwanja Wa Uhuru

Mwili wa Marehemu Benjamin Mkapa umeshafikishwa katika uwanja wa Uhuru Dar kwa ajili ya kuagwa. Rais Magufuli ataongoza viongozi wa ndani na nje ya nchi kuaga mwili wa Mkapa, kisha baada ya taratibu zote kukamilika utasafirishwa kupelekwa Kijijini Lupaso kwa maziko.

Leave a Comment