×

Tanzia: Aliyekatwa Ulimi Afariki Dunia

SALIM Mohamed Mkazi wa Tuangoma Dar es Salaam ambaye alikuwa akiishi bila ulimi baada ya kukatwa kutokana na kusumbuliwa na Kansa amefariki Dunia Tunduma asubuhi ya leo, Ijumaa, Januari 31, 2020, utakumbuka Mkewe (Fatma) alihojiwa mara kadhaa akiomba msaada na Wananchi wakamchangia na kuwezesha matibabu kwa kiasi kikubwa.

 

“Nawashukuru Global TV kwa kuwa nami bega kwa bega tangu ugonjwa wa mume wangu, nawashukuru wote waliokuwa na sisi bega kwa bega kutuchangia kwa matibabu Tanzania hadi kusafiri kwenda India, Salim amefia nyumbani Tunduma, Mbeya na mazishi yanafanyika hapahapa Tunduma,” Fatma (Mke wa Salim).

TAZAMA VIDEO

Leave a Comment