×

Video: Magufuli Amuweka ‘Mtu Kati’ Mbunge wa Mkuranga

RAIS Dkt John Magufuli leo Juai 30, 2020 ameanza safari ya kurudi Dar akitokea mkoani Mtwara alipokwenda kumzika Hayati Mkapa.

Akiwa njiani amesimama katika maeneo mbalimbali na kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero zao… ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

 

Leave a Comment