×

Yanga Yamficha Kocha Hotelini Dar – Video

INAELEZWA kuwa uongozi wa yanga umemzuia kocha mkuu wa Namungo, Hitimana Thiery, kurejea Lindi na kumficha katika ya hoteli jijini Dar kwa lengo la kutaka kumalizana naye.

Leave a Comment