×

Fimbo ya Ajabu: Inatibu, Inafichua Siri, Wanaume 5…! – Video

MAAJABU! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia ‘FIMBO’ ya ajabu inayomilikiwa na kijana, Nurdin Muhidin Dongo (19), yenye uwezo wa kufanya mambo makubwa ya kushangaza ikiwemo kutibu maradhi mbalimbali, kufichua siri za mtu, lakini nguvu iliyonayo ni kubwa kiasi kwamba wanaume wanne walioshiba hawawezi kuizuia… Akizungumza na Global TV, Kijana Nurdin, amesimulia jinsi alivyoipata fimbo hiyo akiwa na umri wa miaka tisa.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave a Comment