
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Harmonize, kutoka Konde Gang, ni miongoni mwa wachezaji wanaokamilisha wachezaji 11 wa kikosi cha Team Samatta katika mechi yao ya itakayochezwa Agosti 8, 2020, dhidi ya Team Kiba katika dimba la Mkapa jijini Dar.

Harmonize alishawahi kusema kwamba ndoto yake ilikuwa ni kuja kuwa mchezaji mkubwa wa soka, lakini baadaye alijikuta kwenye ulimwengu wa sanaa…. Sasa shuhudia mbwembwe za Harmonize wakati wa mazoezi ya Team Samatta.