×

Kibwana Shomari Atua Yanga, Asani Miaka Miwili

Klabu ya soka ya Yanga leo Agosti 9, 2020 imekamilisha usajili wa beki wa kulia wa Mtibwa Sugar ya Morogoro,  Kibwana Ally Shomari  kwa mkataba wa miaka miwili.


Leave a Comment