Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo, Bw. Simon Karikari ametembelea katika maonesho ya Nane Nane katika viwanja vya Nyakabindi Mkoa wa Simiyu.