Global Publishers August 14, 2020 4,016 views 0 Comments
SHARE THIS:
TAKUKURU inawatuhumu aliyekuwa Diwani wa Ntyuka, Theobald Maina; aliyekuwa Mtendaji wa Ntyuka, Benedict Mazengo na aliyekuwa Mwenyekiti Mtaa wa Chimala, Anderson Jonathan kufuja Tsh. Milioni 2.