Maelfu ya watu wamefurika katika Uwanja wa Uhurujijini Dar es Salaam kushuhudia Tamasha la kutambulisha nyimbo za CCM zilizotungwa maalum kwaajiki ya Kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Kampenzi zinatarajiwa kufanyika Agosti 26, 2020 hadi Oktoba 27, 2020 na Uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika Oktoba 28, mwaka huu.
