×

Vide: JPM Awapigia Simu Laivu Wasanii Uhuru “Pigeni Usiku Kucha”

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amepiga simu LIVE kwenye Tamasha la Uhuru Kuna Jambo, na kuwapongeza Wasanii, Wanadaressalaam na Watanzania kwa Ujumla kwa Sapoti kubwa wanayowapatia.

 

“”Naangalia, nipo pamoja na nyinyi hongereni sanaaa, nyimbo zinapendeza, zinafurahishaa hongereni sana wasanii, nilikuwa nasikia nyimbo kila mahali kwakweli CCM BABALAO,” Rais Dk. Magufuli.

 

Leave a Comment