×

Video: Balaa la Rayvanny, Avamia Steji na Gari la Jeshi

MSANII KUTOKA LEBO YA WCB, Rayvanny ameshuka stejini na gari la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika Tamasha la Chama cha Mapinduzi (CCM) wakizindua Nyimbo za chama 109 zilizotungwa na wasanii mbalimbali nchini, ambapo hafla hiyo imefanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam Agosti 16, 2020.

 

Leave a Comment