BAADHI ya wachezaji kutoka nje ya Tanzania waliosajiliwa katika klabu ya Yanga, Mukoko Tonombe na Tusila, wamewasili nchini leo na kupokelewa na mashabiki lukuki wa klabu hiyo.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx