Cecilia Mwanga Kugombea Urais Dem. Makini – Video Global Publishers August 25, 2020 0 Comments SHARE THIS: MWENYEKITI wa NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Cecilia Mwanga, kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Tabu Juma kuwa mgombea wa nafasi ya makamu wa urais kupitia Chama cha Demokrasia Makini. SHARE THIS: