🔴#LIVE: Tundu Lissu Azindua Kampeni za Chadema – Dar
Global Publishers August 28, 2020 4,914 views 0 Comments
SHARE THIS:
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anazindua kampeni zake za uchaguzi mkuu leo Ijumaa 28 Agosti 2020 katika Viwanja vya Zakhiem-Mbagala jijini Dar es Salaam.