×

Sheikh Kipozeo, Mwaipopo Kuunguruma Kongamano la Kiislam – Video


SHEHE Mwaipopo amejitosa na kuandaa Kongamano kubwa la funga mwaka kwa ajili ya kuwasaidia watoto yatima ambao wamekuwa wakiishi katika mazingira magumu na kukosa huduma muhimu kama watoto wengine ambalo litafanyika katika Ukumbi wa PTA uliopo kwenye Viwanja vya Maonesho ya Wakulima Saba Saba jijini Dar es Salaam, Jumapili Desemba 27, 2020 kuanzia saa 2 asubuhi.

 

“Duniani tunapita, tuwekeze kwa Mwenyezi Mungu, hakuna wa kutulipa, tuwaangalie yatima na Wajane, tunaweka hazina kwa Mwenyezi Mungu….’ Saidia kuchangia yatima hao kupitia M-Pesa namba 0755361906, jina Said Nestory Mwaipopo.

 

Leave a Comment