×

Magufuli Amzawadia Kofia Mwananchi Iringa – (Picha + Video)

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli  leo amemvalisha Kofia Bibi aliyefahamika kwa jina moja Bibi Zainabu mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mafinga mkoani Iringa.

#Kampeni Mafinga Iringa

Leave a Comment