Global Publishers August 29, 2020 4,040 views 0 Comments
SHARE THIS:
Mgombea wa Urais CCM Dkt. John Magufuli akicheza na wanamuziki wa Bendi ya TOT mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma katika uzinduzi wa Kampeni za chama hicho.