Global Publishers September 3, 2020 4,042 views 0 Comments
SHARE THIS:
POLISI Mkoa wa Arusha imewakamata watu watatu, wawili wakiwa ni madereva na ofisa uhamasishaji, wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakituhumiwa kuhusika na tukio la kuchoma moto ofisi za chama hicho mjini Arusha 14 Agosti 2020.